Swali: Ni vipi kuwaraddi makafiri au waislamu ambao wanapinga wanawake wa makafiri waliotekwa [katika Jihaad] kuwa halali baada ya vita?
Jibu: Huku ni kupinga hukumu ya iliowekwa katika Shari´ah. Ni kupinga hukumu iliyowekwa na Allaah na Mtume Wake na wameafikiano kwayo waislamu. Kunakhofiwa juu ya mtu huyu kuritadi na tunaomba kinga kwa Allaah ikiwa anajua kuwa Allaah Ameweka hili katika Shari´ah na Mtume ameweka hili katika Shari´ah na waislamu wameafikiana juu yake. Lau ingelikuwa hatuwapachiki watu hawa ujinga, basi tungelisema kuwa huku ni kuritadi kwa wazi kabisa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (51) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-05-27.mp3
- Imechapishwa: 16/11/2014
Swali: Ni vipi kuwaraddi makafiri au waislamu ambao wanapinga wanawake wa makafiri waliotekwa [katika Jihaad] kuwa halali baada ya vita?
Jibu: Huku ni kupinga hukumu ya iliowekwa katika Shari´ah. Ni kupinga hukumu iliyowekwa na Allaah na Mtume Wake na wameafikiano kwayo waislamu. Kunakhofiwa juu ya mtu huyu kuritadi na tunaomba kinga kwa Allaah ikiwa anajua kuwa Allaah Ameweka hili katika Shari´ah na Mtume ameweka hili katika Shari´ah na waislamu wameafikiana juu yake. Lau ingelikuwa hatuwapachiki watu hawa ujinga, basi tungelisema kuwa huku ni kuritadi kwa wazi kabisa.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (51) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-05-27.mp3
Imechapishwa: 16/11/2014
https://firqatunnajia.com/anayepinga-uhalali-wa-wanawake-wa-makafiri-waliotekwa-vitani/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)