Swali: Kuna ambao wanawaita watu kwenye baadhi ya mapote ambayo hayatambui [hayaamini] kufufuliwa baada ya kufa, kama mfano wa Hizb-ul-Ba´th. Je, kundi hili ni la Kiislamu au la kikafiri?
Jibu: Wewe unasema kuwa linapinga kufufuliwa kisha wauliza kama ni la Kiislamu? Anayepinga kufufuliwa sio muislamu. Anayepinga kufufuliwa na kuwahuisha maiti, malipo na hesabu, huyu sio muislamu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_10.mp3
- Imechapishwa: 01/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)