Swali: Je, mtu huyo anaritadi katika dini?
Jibu: Ni kwa njia ya makemeo na matahadharisho. Haina maana kwamba ameritadi katika Uislamu. Maana yake ni kwamba anastahiki kusifiwa kwa neno hilo[1]. Kwa hivyo ajihadhari kusema hivo. Haina maana kwamba amekufuru na kuritadi katika Uislamu. Hapana sivyo. Maana yake ni kwamba ameingia jambo la khatari ambalo ni baya kwake.
[1] Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mtu akimwambia nduguye “Ee kafiri!”, basi ni lazima impate mmoja wao.” (Maalik (3/148), Ahmad (2/113), al-Bukhaariy (10/428), Muslim (60) na at-Tirmidhiy (2637)).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24165/معنى-اذا-قال-يا-كافر-فقد-باء-به-احدهما
- Imechapishwa: 11/09/2024
Swali: Je, mtu huyo anaritadi katika dini?
Jibu: Ni kwa njia ya makemeo na matahadharisho. Haina maana kwamba ameritadi katika Uislamu. Maana yake ni kwamba anastahiki kusifiwa kwa neno hilo[1]. Kwa hivyo ajihadhari kusema hivo. Haina maana kwamba amekufuru na kuritadi katika Uislamu. Hapana sivyo. Maana yake ni kwamba ameingia jambo la khatari ambalo ni baya kwake.
[1] Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mtu akimwambia nduguye “Ee kafiri!”, basi ni lazima impate mmoja wao.” (Maalik (3/148), Ahmad (2/113), al-Bukhaariy (10/428), Muslim (60) na at-Tirmidhiy (2637)).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24165/معنى-اذا-قال-يا-كافر-فقد-باء-به-احدهما
Imechapishwa: 11/09/2024
https://firqatunnajia.com/anayemwambia-ndugu-yake-ee-kafiri-anaritadi/