Anayekubaliana na Ahl-ul-Bid´ah katika jambo limoja ni mtu wa Bid´ah

Swali: Mwanachuoni katika Ahl-us-Sunnah akikubaliana na moja katika mambo ya ´Aqiydah ya Ahl-ul-Bid´ah, anazingatiwa kuwa ni mmoja katika wao?

Jibu: Ndio. Akikubaliana na wao katika moja katika mambo ya I´tiqaad na moja katika misingi ya ´Aqydah anakuwa mtu wa Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20-5-11-1435.mp3
  • Imechapishwa: 19/04/2015