Anayejali tumbo lake tu ndiye anayesema hivo

1 – Aliulizwa Shaykh wetu kuhusu yule anayesema:

“Hii leo hakuna unafiki wa kiimani?”

Jibu: Akatabasamu, kisha akasema kuwa hayo hayasemwi isipokuwa na mtu ambaye anakula na kunywa tu na hajui chochote.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 31
  • Imechapishwa: 18/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´