Swali 13: Anayeacha swalah ya ijumaa kwa makusudi anatakiwa kuifidia?

Jibu: Ndio, hatakiwi kuswali Dhuhr. Badala yake anatakiwa kutubu kwa Allaah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 33
  • Imechapishwa: 24/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´