Swali: Ambaye anatokwa na upepo kila wakati ana hukumu moja kama ambaye ana ugonjwa wa kutokwa na mkojo hovyo?
Jibu: Hapana, huyu anazingatiwa ni mwenye hadathi ya siku zote kwa sababu ya kutokwa na upepo kila wakati. Anatakiwa kutawadha wakati wa kutaka kuswali. Pale anapotaka kuswali ndipo anatakiwa kutawadha. Akitokwa na kitu swalah yake ni sahihi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
- Imechapishwa: 10/01/2021
Swali: Ambaye anatokwa na upepo kila wakati ana hukumu moja kama ambaye ana ugonjwa wa kutokwa na mkojo hovyo?
Jibu: Hapana, huyu anazingatiwa ni mwenye hadathi ya siku zote kwa sababu ya kutokwa na upepo kila wakati. Anatakiwa kutawadha wakati wa kutaka kuswali. Pale anapotaka kuswali ndipo anatakiwa kutawadha. Akitokwa na kitu swalah yake ni sahihi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
Imechapishwa: 10/01/2021
https://firqatunnajia.com/anatokwa-na-upepo-kila-wakati/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)