Swali: Vipi pale ambapo kujeruhi na kusifu kunakinzana katika Hadiyth?
Jibu: Hutangulizwa kujeruhi ikiwa kumetoka kwa imamu miongoni mwa maimamu wanaojua sababu za kutoa kasoro na akabainisha wazi kama vile kusema ´mwenye hifadhi mbaya´, ´mwongo`, kwa msemo mwingine ni kwamba amebainisha sababu za kumkosoa na awe huyo anayekosoa ni imamu anayejulikana.
Swali: Vipi ikiwa anatambulika kwa ukali kama an-Nasaa’iy?
Jibu: Haijalishi kitu, muda wa kuwa amebainisha sababu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31197/ما-الحكم-اذا-تعارض-الجرح-والتعديل-في-الحديث
- Imechapishwa: 11/10/2025
Swali: Vipi pale ambapo kujeruhi na kusifu kunakinzana katika Hadiyth?
Jibu: Hutangulizwa kujeruhi ikiwa kumetoka kwa imamu miongoni mwa maimamu wanaojua sababu za kutoa kasoro na akabainisha wazi kama vile kusema ´mwenye hifadhi mbaya´, ´mwongo`, kwa msemo mwingine ni kwamba amebainisha sababu za kumkosoa na awe huyo anayekosoa ni imamu anayejulikana.
Swali: Vipi ikiwa anatambulika kwa ukali kama an-Nasaa’iy?
Jibu: Haijalishi kitu, muda wa kuwa amebainisha sababu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31197/ما-الحكم-اذا-تعارض-الجرح-والتعديل-في-الحديث
Imechapishwa: 11/10/2025
https://firqatunnajia.com/anatangulizwa-aliyejeruhi/