Swali: Na kuna mtu alitamka na kusema ntakula lakini hakula.

Jibu: Atalipa. Aliazimia kula kisha hakula atalipa.

  • Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020