Swali: Mke wake ana mimba ya mwezi wa nane. Je, ni juu yake kufunga Ramadhaan?

Jibu: Ndio. Ikiwa haitomdhuru atafunga. Akipata uzito ana ruhusa ya kula na ni juu yake kulipa.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020