Swali: Vipi ikiwa mtu atampa talaka mke wake mara moja katika twahara ambayo hajamwingilia, kisha akataka kutoa talaka ya pili na ya tatu?

Jibu: Inatosha talaka moja tu, asitoe talaka nyingine. Sunnah ni kutosheka na talaka moja na asimwendekeze.

Swali: Vipi ikiwa anataka kufanya hivo?

Jibu: Haitakikani.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25226/حكم-من-طلق-في-طهر-واراد-الطلقة-الثانية
  • Imechapishwa: 20/02/2025