Swali: Mwanamke kutoka Ujerumani anafuata mfumo wa Ahl-us-Sunnah na anataka kuolewa na mwanamme ambaye na yeye anafuata mfumo huohuo na ni mwanafunzi. Baba yake na mwanamke huyo ni Suufiy na anamkatalia kuolewa na mwanamme ambaye anafuata mfumo sahihi. Ni vipi atatatua tatizo hilo?
Jibu: Aende katika kituo cha Kiislamu huko kwao. Watalisimamia jambo hilo. Kituo cha Kiislamu ndio watasimamia jambo hili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
- Imechapishwa: 11/02/2022
Swali: Mwanamke kutoka Ujerumani anafuata mfumo wa Ahl-us-Sunnah na anataka kuolewa na mwanamme ambaye na yeye anafuata mfumo huohuo na ni mwanafunzi. Baba yake na mwanamke huyo ni Suufiy na anamkatalia kuolewa na mwanamme ambaye anafuata mfumo sahihi. Ni vipi atatatua tatizo hilo?
Jibu: Aende katika kituo cha Kiislamu huko kwao. Watalisimamia jambo hilo. Kituo cha Kiislamu ndio watasimamia jambo hili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
Imechapishwa: 11/02/2022
https://firqatunnajia.com/anataka-kumuozesha-msichana-wake-kwa-sunniy/