Swali: Nafanya kazi katika nchi ya makafiri na tunalazimishwa kufanya kazi wakati wa swalah ya Ijumaa mara mbili kwa mwezi? Ni ipi hukumu ya ujira ninaopata?

Jibu: Ikiwa unahitajia ujira kwa njia ya kwamba wewe ni fakiri na unahitajia kufanya kazi, ni sawa ukafanya kazi ili uweze kupata kile unachokihitajia wewe na watoto wako na unakuwa ni mwenye kupewa udhuru kuacha swalah ya Ijumaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13974
  • Imechapishwa: 19/06/2020