Anampiga mama na anataka kuwagombanisha wanandugu

Swali: Tuko na baba ambaye anatugombanisha sisi wanandugu, anaeneza uadui kati yetu na anataka tuwe ni wenye kutawanyika. Anakereka na umoja wetu na anampiga mama yetu. Ni vipi tutataamiliana naye? Je, inajuzu kwetu kumuasi?

Jibu: Msimtii katika mambo haya. Mtendeeni wema na wala msimtii katika mambo haya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (90) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20-15-07-1439.lite__0_0.mp3
  • Imechapishwa: 18/08/2018