Swali 6: Mwanamume ambaye ana mke wa kinaswara au kiyahudi na anampenda – je, huko ni katika kuwapenda makafiri?

Jibu: Hapana, anapenda kwa sababu ni mke wake. Hapendi dini yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 32
  • Imechapishwa: 19/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´