Swali: Je, anakufuru yule ambaye anaweka nadhiri ya asichomiliki?

Jibu: Hapana, hakukupokelewa kwamba akufurishwe. Kilichokatazwa ni nadhiri ya maasi. kuhusu hiyo hapo juu ni nadhiri batili.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24142/حكم-من-نذر-نذرا-لا-يملكه
  • Imechapishwa: 06/09/2024