Swali: Kuna mtu alitangaza kwamba kikipatikana kitu chake kilichopotea basi atampa kiwango fulani cha pesa. Wakati mtu fulani alipomrudishia nacho, akamkatalia kumpa kiwango hicho…

Jibu: Analazimika kutoa kiangazamacho. Kwa sababu ameilazimisha nafsi yake kitu na kimepatikana kile alichokuwa anataka. Kwa hiyo analazimika kutoa kiangazamacho.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
  • Imechapishwa: 25/02/2022