Swali: Baadhi ya watu wanaponasihiwa wanasema kuwa Allaah hajawaongoza. Ni ipi hukumu ya kusema hivo?

Jibu: Mwambie amuombe Mola Wake amwongoze. Allaah anasema:

ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ

 “Niombeni Nitakuitikieni.”[1]

[1] 40:60

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-is-Shubuhaat, uk. 116
  • Imechapishwa: 22/08/2019