Anachotakiwa kufanya mwanamke aliyepoteza nywele zake

Swali 623: Vipi mwanamke akipoteza nywele za kichwani?

Jibu: Atazitibu. Nywele zake zitamea kwa kupandikiza, jambo ambalo ni kujitibisha. Lakini kuziunganisha na kitu, hapana. Wala asivae nywele bandia. Akipoteza nywele zake, avae mtandio na abaya na himdi zote anastahiki Allaah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 221
  • Imechapishwa: 14/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´