Swali: Je, mtu aeneze vitabu vya zamani vya Shaykh Ibn Jibriyn?
Jibu: Ninaonelea kuwa kusienezwe vitabu vya watu wa Bid´ah wote. Wanataka kueneza madhehebu yao. Inatosheleza kwa yule mwenye kumuamini au kusoma vitabu vyake kuonelea kuwa ana haki au mfano wa hayo na kwamba ni mpambanaji katika dini. Isitoshe, ijulikane kuwa kuna watu katika Ahl-us-Sunnah ambao wamefanya vivyo hivyo. Hatuna haja ya vitabu hivi.
- Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=130284
- Imechapishwa: 05/07/2020
Swali: Je, mtu aeneze vitabu vya zamani vya Shaykh Ibn Jibriyn?
Jibu: Ninaonelea kuwa kusienezwe vitabu vya watu wa Bid´ah wote. Wanataka kueneza madhehebu yao. Inatosheleza kwa yule mwenye kumuamini au kusoma vitabu vyake kuonelea kuwa ana haki au mfano wa hayo na kwamba ni mpambanaji katika dini. Isitoshe, ijulikane kuwa kuna watu katika Ahl-us-Sunnah ambao wamefanya vivyo hivyo. Hatuna haja ya vitabu hivi.
Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=130284
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/an-najmiy-kuhusu-vitabu-vya-ibn-jibriyn/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)