Swali: Je, ni sahihi umesema kuwa Shaykh Ibn Jibriyn ni mzushi?
Jibu: Shaykh Ibn Jibriyn ni Ikhwaaniy. Ni, kama inavyosemekana, Ikhwaaniy wa kukolea. Ninataka msome kitabu “Radd-ul-Jawaab”[1]. Mkipata kosa lolote humo, basi mnieleze. Allaah anajua kuwa sikumraddi isipokuwa ni kwa sababu ya kutaka kunusuru Tawhiyd na haki. Uhakika wa Ibn Jibriyn umefichuka. Hali yake imekuwa wazi.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/ahmad-an-najmiy-akimjibu-ibn-jibriyn/
- Muhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=130284
- Imechapishwa: 05/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket