Ameswali pambizoni mwa imamu ilihali safu hazikamilika

Swali: Ni ipi hukumu ambaye anaswali kuliani kwa imamu ilihali safu hazikamilika?

Jibu: Swalah yake ni sahihi. Lakini haitakikani kwake kufanya jambo hilo. Anatakiwa kuswali nyuma ya imamu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (19)
  • Imechapishwa: 21/03/2021