Amesahau vitu vyake kwenye gari yangu

Swali: Kuna mtu mmoja aliacha kwenye gari yangu baadhi ya vitu visivyokuwa na thamani na akaenda zake na sijui anwani yake.

Jibu: Ikiwa aliviacha Makkah basi vipeleke katika ofisi vya wenye kupoteza vitu ilioko Haram. Kama ni nje ya Makkah, fuatilia thamani yake na utoe swadaqah ya ile thamani kwa nia thawabu zimwendee yule mpotezaji.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Swifaat-il-Mu´miniyn https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-09/s_0.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2022