Swali: Kuna mtu amesahau kuosha uso wake wakati wa kutawadha kisha alipomaliza viungo vyote akaosha uso wake. Je, inatosha kufanya hivo au ni lazima kurudi kutawadha upya?
Jibu: Arudi kile alichosahau na vile viungo vilivyofuatia baada yake kwa sharti viungo vyake visiwe vimeshakauka. Ikiwa vimeshakauka basi ni lazima kutawadha upya tena.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan. af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
- Imechapishwa: 03/01/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket