Swali: Ipi hukumu ya mwanamke ambaye ni wajibu kwake kulipa baadhi ya siku katika Ramadhaan. Ramadhaan iliopita alisahau kulipa mpaka hivi sasa.
Jibu: Ikimjia Ramadhaan ya pili, ataifunga. Kisha atalipa baada ya Ramadhaan na atalisha maskini pamoja na kila siku kulipa, kwa kuwa alichelewesha kulipa zaidi ya mwaka bila ya udhuru.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Ipi hukumu ya mwanamke ambaye ni wajibu kwake kulipa baadhi ya siku katika Ramadhaan. Ramadhaan iliopita alisahau kulipa mpaka hivi sasa.
Jibu: Ikimjia Ramadhaan ya pili, ataifunga. Kisha atalipa baada ya Ramadhaan na atalisha maskini pamoja na kila siku kulipa, kwa kuwa alichelewesha kulipa zaidi ya mwaka bila ya udhuru.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/amesahau-kulipa-deni-lake/