168- Nilimsikia baba yangu akisema kuhusu mtu ambaye amefanya Tayammum kisha akapata maji ndani ya wakati wa swalah. Akasema:
“Asirudi kuswali.”
Abu Salamah amesema:
“Asirudi kuswali.”
Ibn-ul-Musayyab amesema:
“Airudi.”
- Muhusika: Imaam ´Abdullâh bin Ahmad bin Hanbal (kfk. 290)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/130-131)
- Imechapishwa: 07/02/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket