169- Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu ambaye ameamka kutoka usingizini mwake na maji yako mbali na yeye. Ikiwa atayaendea maji hayo basi jua litachomoza. Afanye Tayammum au ayaendee maji hayo? Akajibu:
“Anatakiwa kuyafuta maji mpaka ule wakati ambao anachelea muda wa swalah kutoka nje. Akichelea kuwa jua litachomoza basi atafanya Tayammum kisha aswali.”
- Muhusika: Imaam ´Abdullâh bin Ahmad bin Hanbal (kfk. 290)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/130-131)
- Imechapishwa: 07/02/2020
169- Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu ambaye ameamka kutoka usingizini mwake na maji yako mbali na yeye. Ikiwa atayaendea maji hayo basi jua litachomoza. Afanye Tayammum au ayaendee maji hayo? Akajibu:
“Anatakiwa kuyafuta maji mpaka ule wakati ambao anachelea muda wa swalah kutoka nje. Akichelea kuwa jua litachomoza basi atafanya Tayammum kisha aswali.”
Muhusika: Imaam ´Abdullâh bin Ahmad bin Hanbal (kfk. 290)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/130-131)
Imechapishwa: 07/02/2020
https://firqatunnajia.com/ameamka-na-maji-yako-mbali-na-yeye/