Swali: Mimi ni Abu ‘Umar na nina miaka 13. Nilikuwa na rafiki yangu, tukawa tunachezacheza kwa bunduki. Ikateleza mkononi mwangu ikamnasa yeye na akafa. Wazazi wake wamesamehe na tumeshatoa diyaa. Naomba mnifafanulie.
Jibu: Unalo jukumu la kutoa kafara. Mlipokuwa mkichezana kwa bunduki na ikateleza kutoka kwako na ikamuua, basi unalazimika kulipa diyaa na kafara. Diyaa wameshaikusamehe, lakini bado una jukumu la kafara. Kafara ni kumwacha huru mtumwa muumini. Usipopata, basi unafunga miezi miwili mfululizo. Hiyo ndiyo kafara: kuacha mtumwa huru ikiwezekana, ikiwa haiwezekani basi utalazimika kufunga miezi miwili mfululizo. Unapaswa kutekeleza hilo kadiri ya uwezo wako katika wakati unaofaa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1255/مسالة-في-قتل-الخطا
- Imechapishwa: 13/02/2026
Swali: Mimi ni Abu ‘Umar na nina miaka 13. Nilikuwa na rafiki yangu, tukawa tunachezacheza kwa bunduki. Ikateleza mkononi mwangu ikamnasa yeye na akafa. Wazazi wake wamesamehe na tumeshatoa diyaa. Naomba mnifafanulie.
Jibu: Unalo jukumu la kutoa kafara. Mlipokuwa mkichezana kwa bunduki na ikateleza kutoka kwako na ikamuua, basi unalazimika kulipa diyaa na kafara. Diyaa wameshaikusamehe, lakini bado una jukumu la kafara. Kafara ni kumwacha huru mtumwa muumini. Usipopata, basi unafunga miezi miwili mfululizo. Hiyo ndiyo kafara: kuacha mtumwa huru ikiwezekana, ikiwa haiwezekani basi utalazimika kufunga miezi miwili mfululizo. Unapaswa kutekeleza hilo kadiri ya uwezo wako katika wakati unaofaa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1255/مسالة-في-قتل-الخطا
Imechapishwa: 13/02/2026
https://firqatunnajia.com/amemuua-rafiki-yake-kwa-silaha-bila-kukusudia/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket