Swali: Mwanaume alimuoa mwanamke ambaye anajua kuwa ana mimba inayotokamana na maji ya uzinzi.

Jibu: Hukumu ya mwanamke ni kupigwa mawe kwa kuzingatia kwamba uzinzi wake umethibiti akiwa tayari ameshaingia ndani ya ndo (ath-Thayyib). Mwanaume anapaswa kuadhibiwa na kunyimwa mahari kwa kumjamii mwanamke kwa kule kufunga naye ndoa ilihali anatambua kuwa ana ujauzito wa zinaa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 319
  • Imechapishwa: 03/08/2019