Swali: Ni ipi hukumu kwa ambaye amepitikiwa na usingizi kutokana na ´Ishaa kisha akaamka kuswali Fajr na akaiswali, hata hivyo akakumbuka ´Ishaa wakati yuko anaswali Fajr? Je, akamilishe Fajr au afanye nini?
Jibu: Ndio, akamilishe Fajr kisha aswali ´Ishaa.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (2/221)
- Imechapishwa: 22/05/2026
Swali: Ni ipi hukumu kwa ambaye amepitikiwa na usingizi kutokana na ´Ishaa kisha akaamka kuswali Fajr na akaiswali, hata hivyo akakumbuka ´Ishaa wakati yuko anaswali Fajr? Je, akamilishe Fajr au afanye nini?
Jibu: Ndio, akamilishe Fajr kisha aswali ´Ishaa.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (2/221)
Imechapishwa: 22/05/2026
https://firqatunnajia.com/amekumbuka-ishaa-wakati-yuko-anaswali-fajr/