Swali: Nilikula katika Ramadhaan kwa kukusudia kwa siku tatu na inaweza kuwa zaidi ya hapo. Kisha nikatubu kwa Allaah. Ni lipi la wajibu kwangu?
Jibu: Ni wajibu kulipa masiku haya matatu ambayo ulikula ikiwa ulikula mchana wa Ramadhaan. Ama ikiwa tokea mwanzo wa siku ulikuwa hukufunga basi hayatokubalika kutoka kwako japokuwa utayalipa. Lakini ni juu yako kutubu kwa Allaah na ukithirishe matendo mema.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (42) http://binothaimeen.net/content/931
- Imechapishwa: 07/05/2018
Swali: Nilikula katika Ramadhaan kwa kukusudia kwa siku tatu na inaweza kuwa zaidi ya hapo. Kisha nikatubu kwa Allaah. Ni lipi la wajibu kwangu?
Jibu: Ni wajibu kulipa masiku haya matatu ambayo ulikula ikiwa ulikula mchana wa Ramadhaan. Ama ikiwa tokea mwanzo wa siku ulikuwa hukufunga basi hayatokubalika kutoka kwako japokuwa utayalipa. Lakini ni juu yako kutubu kwa Allaah na ukithirishe matendo mema.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (42) http://binothaimeen.net/content/931
Imechapishwa: 07/05/2018
https://firqatunnajia.com/amekula-siku-tatu-za-ramadhaan-kwa-makusudi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)