Swali: Kuna mtu alichukua kuku, au ndege aina mwingine, akataja jina la Allaah kisha akavunja shingo yake kwa mikono yake, bila ya kisu wala nyenzo nyingine. Je, nyama hii ni halali au haramu?
Jibu: Kinachodhihiri ni kwamba kumchinja mnyama kunadkuwa kwa kifaa kilichonolewa na kwa ajili hiyo nyama hiyo sio halali.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 430
- Imechapishwa: 31/07/2025
Swali: Kuna mtu alichukua kuku, au ndege aina mwingine, akataja jina la Allaah kisha akavunja shingo yake kwa mikono yake, bila ya kisu wala nyenzo nyingine. Je, nyama hii ni halali au haramu?
Jibu: Kinachodhihiri ni kwamba kumchinja mnyama kunadkuwa kwa kifaa kilichonolewa na kwa ajili hiyo nyama hiyo sio halali.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 430
Imechapishwa: 31/07/2025
https://firqatunnajia.com/amekata-kichwa-cha-kuku-kwa-mikono-yake/