Swali: Je, nimtaliki mwanamke ambaye nimemuoa na baadaye nikaja kujua kuwa hapo kitambo aliwahi kuzini?
Jibu: Akijua kuwa bado anaendelea kuzini aachane naye:
وَحُرِّمَ ذَٰلِكَ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ
”Na imeharamishwa hivyo kwa waumini.”[1]
Lakini akijua kuwa amekwishatubu, ana haki ya kubaki naye kama ambavo ana haki ya kumwacha. Si kwamba ni kamba imefungwa shingoni mwako. Allaah ameifanya talaka kwa ajili ya kumpumzisha mtu.
[1] 24:03
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 253-254
- Imechapishwa: 10/03/2025
Swali: Je, nimtaliki mwanamke ambaye nimemuoa na baadaye nikaja kujua kuwa hapo kitambo aliwahi kuzini?
Jibu: Akijua kuwa bado anaendelea kuzini aachane naye:
وَحُرِّمَ ذَٰلِكَ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ
”Na imeharamishwa hivyo kwa waumini.”[1]
Lakini akijua kuwa amekwishatubu, ana haki ya kubaki naye kama ambavo ana haki ya kumwacha. Si kwamba ni kamba imefungwa shingoni mwako. Allaah ameifanya talaka kwa ajili ya kumpumzisha mtu.
[1] 24:03
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 253-254
Imechapishwa: 10/03/2025
https://firqatunnajia.com/amejua-kuwa-mke-wake-hapo-kitambo-aliwahi-kuzini/