Amegundua kuwa mke ana ugonjwa wa akili

Swali: Punde tu baada ya ndoa mume amegundua kuwa mkewe ana kichaa kwa sababu ya ugonjwa wa akili unaomsumbua. Je, hilo linalazimu kufutwa kwa ndoa?

Jibu: Anayo haki ya kufanya hivo, ndio. Ikiwa amejua kuwa hilo limetokea wakati wa ndoa na akalijua baadaye, anayo haki ya kuivunja ndoa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
  • Imechapishwa: 27/07/2023