Swali: Ni ipi hukumu ya mfungaji kula, kunywa au kufanya jimaa huku akidhani kuwa jua limeshazama au alfajiri haijachomoza?
Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba ni wajibu kwake kulipa na kutoa kafara kwa kufanya jimaa. Hivi ndivo wanavyoonelea wanachuoni wengi kwa lengo la kufunga mlango wa watu kuchukulia wepesi. Vilevile hilo ndilo salama zaidi juu ya swawm.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (15/290)
- Imechapishwa: 30/05/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya mfungaji kula, kunywa au kufanya jimaa huku akidhani kuwa jua limeshazama au alfajiri haijachomoza?
Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba ni wajibu kwake kulipa na kutoa kafara kwa kufanya jimaa. Hivi ndivo wanavyoonelea wanachuoni wengi kwa lengo la kufunga mlango wa watu kuchukulia wepesi. Vilevile hilo ndilo salama zaidi juu ya swawm.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (15/290)
Imechapishwa: 30/05/2018
https://firqatunnajia.com/amefanya-jimaa-na-kula-na-kunywa-kwa-kudhani-kimakosa/