Amefahamishwa katikati ya swalah kuelekea Qiblah

Swali: Wakati Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) walipofahamishwa kugeukia Ka´bah baada ya kuwa walikuwa wanaswali kuelekea Yerusalemu. Mtu anaweza kutumia hiyo kama dalili kwa yule anayeswali kueleka kusikokuwa Qiblah kisha akafahamishwa akamilishe swalah yake?

Jibu: Ndio. Akamilishe swalah yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (92) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D8%A6%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-29-07-1439%D9%87%D9%80%200010.mp3
  • Imechapishwa: 21/07/2018