Amechemua wakati alipoinuka kutoka kwenye Rukuu´

259 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mtu aliyenyanyua kichwa kutoka Rukuu´, kisha akapiga chafya – je, inatosha kusema “Alhamdulillaah” mara moja?

Jibu: Huenda ni Sunnah mbili zilizokutana, zikaungana pamoja.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 98
  • Imechapishwa: 10/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´