Swali: Vipi kuhusu mtu akifariki akiwa Riyaadh halafu akaacha wasia wa kuzikwa Madiynah?
Jibu: Hapana, hilo halikuwekwa katika Shari´ah. Akifa Riyaadh, hasafirishwi kwenda Madiynah wala kwenda mji mwingine. Akifa Khuruj, hasafirishwi kwenda Riyaadh. Akifa Khuruj, hasafirishwi kwenda Hawtah na kadhalika. Hakuna haja ya kufanya hivyo. Ni kujitwisha gharama bila ulazima. Jambo lililo bora ni kutotekeleza wasia kama huu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1172/افضلية-الصلاة-في-المسجد-البعيد
- Imechapishwa: 06/02/2026
Swali: Vipi kuhusu mtu akifariki akiwa Riyaadh halafu akaacha wasia wa kuzikwa Madiynah?
Jibu: Hapana, hilo halikuwekwa katika Shari´ah. Akifa Riyaadh, hasafirishwi kwenda Madiynah wala kwenda mji mwingine. Akifa Khuruj, hasafirishwi kwenda Riyaadh. Akifa Khuruj, hasafirishwi kwenda Hawtah na kadhalika. Hakuna haja ya kufanya hivyo. Ni kujitwisha gharama bila ulazima. Jambo lililo bora ni kutotekeleza wasia kama huu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1172/افضلية-الصلاة-في-المسجد-البعيد
Imechapishwa: 06/02/2026
https://firqatunnajia.com/ameacha-wasia-wa-kutolewa-riyaadh-na-kwenda-kuzikwa-madiynah/