Swali 419: Vipi ambaye hakuweza kukamilisha Hajj, kama ambaye ameacha Twawaaf-ul-Ifaadhwah, na akatoka na msafara?
Jibu: Ikiwa mtu hawezi kurejea, basi hao ni kama waliozuilika. Badala yake anachinja na kufupisha nywele. Inatosha kufanya hivo. Atazingatiwa si mwenye kuhiji.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 138
- Imechapishwa: 23/08/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 419: Vipi ambaye hakuweza kukamilisha Hajj, kama ambaye ameacha Twawaaf-ul-Ifaadhwah, na akatoka na msafara?
Jibu: Ikiwa mtu hawezi kurejea, basi hao ni kama waliozuilika. Badala yake anachinja na kufupisha nywele. Inatosha kufanya hivo. Atazingatiwa si mwenye kuhiji.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 138
Imechapishwa: 23/08/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/ameacha-twawaaf-ul-ifaadhwah/