Ameacha swalah kwa miaka mingi kisha akatubia

Swali: Vipi ikiwa muislamu ataacha swalah miaka mingi kisha akajirejea?

Jibu: Tawbah inatosha.

Swali: Hatozilipa?

Jibu: Hapana, hapana, kuacha swalah ni ukafiri. Akitubia hatozilipa.

Swali: Haya ndio maoni ya sawa?

Jibu: Ndio, ndio maoni ya sawa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24773/حكم-من-ترك-الصلاة-سنوات-عديدة-ثم-تاب
  • Imechapishwa: 12/12/2024