Ameacha kulala Minaa kwa sababu ya ujinga

Swali: Nilifanya hajj na siku za Tashriyq sikulala Minaa, kwa sababu ya ujinga wangu sikujua kuwa ni wajibu kwangu kufanya hivo. Ni kipi kinachonilazimu?

Jibu: Ikiwa uliweza kulala Minaa na hukufanya hivo, basi utalazimika kutoa fidia kwa sababu ya kuacha kwako kulala Minaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 05/07/2020