Ambaye pua yake katika Sujuud haigusi vyema ardhi

262 – Nilimuuliza kuhusu kutofanya vizuri kusujudu juu ya pua – je, kunabatilisha swalah?

Jibu: Ndiyo, kwani ni sehemu ya kipaji cha uso.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 98
  • Imechapishwa: 10/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´