Ambaye kajitia manukato kugusa jiwe jeusi au kiguzo cha yemeni

Swali 443: Ni ipi hukumu ya kugusa jiwe jeusi au kiguzo cha yemeni ikiwa mtu amejitia manukato?

Jibu: Mwenye Ihraam haigusi ikiwa manukato bado ni yenye unyevunyevu, na ikiwa yamekauka anaweza kulibusu au kuligusa ingawa bado yuko na harufu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 142
  • Imechapishwa: 30/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´