Swali: Tumesikia kwamba haitatolewa ruhusa ya ulinganizi isipokuwa kwa yule mwenye cheti cha chuo kikuu?
Jibu: Ndio, cheti cha chuo kikuu au awe amesoma chini ya wanazuoni ambapo wakamthibitisha wanazuoni, hata kama hana cheti cha chuo kikuu. Ikiwa wanazuoni wamemthibitisha kuwa anajua kuzungumza, anazungumza vizuri na anaaminika anapoulizwa na anapotoa fatwa, basi hakuna tatizo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1467/حكم-صلاة-المراة-كاشفة-لرجليها
- Imechapishwa: 20/12/2025
Swali: Tumesikia kwamba haitatolewa ruhusa ya ulinganizi isipokuwa kwa yule mwenye cheti cha chuo kikuu?
Jibu: Ndio, cheti cha chuo kikuu au awe amesoma chini ya wanazuoni ambapo wakamthibitisha wanazuoni, hata kama hana cheti cha chuo kikuu. Ikiwa wanazuoni wamemthibitisha kuwa anajua kuzungumza, anazungumza vizuri na anaaminika anapoulizwa na anapotoa fatwa, basi hakuna tatizo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1467/حكم-صلاة-المراة-كاشفة-لرجليها
Imechapishwa: 20/12/2025
https://firqatunnajia.com/ambaye-anastahiki-kufanya-ulinganizi/