Swali: Je, mtu anaweza kumuona Allaah waziwazi usingizini?
Jibu: Ndio, ni jambo linawezekana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuona usingizini mwake. Mtu mwengine mbali na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) pia anaweza kumuona. Ahmad bin Hanbal alimuona Mola wake usingizini.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
- Imechapishwa: 06/12/2020
Swali: Je, mtu anaweza kumuona Allaah waziwazi usingizini?
Jibu: Ndio, ni jambo linawezekana. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuona usingizini mwake. Mtu mwengine mbali na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) pia anaweza kumuona. Ahmad bin Hanbal alimuona Mola wake usingizini.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
Imechapishwa: 06/12/2020
https://firqatunnajia.com/allaah-usingizini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)