Swali: Vipi kuhusu kumthibitishia Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) jina Mzuri (الجميل)?

Jibu: Limethibiti katika Hadiyth Swahiyh:

“Hakika Allaah ni Mzuri na anapenda vilivyo vizuri.

”Hakika Allaah ni Mzuri (طيب) na hapokei isipokuwa kilicho kizuri.”

”Hakika Allaah ni Mpole (رفيق) na anapenda upole katika mambo yote.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27665/%D9%87%D9%84-%D9%8A%D8%AB%D8%A8%D8%AA%C2%A0%D8%A7%D8%B3%D9%85-%D8%A7%D9%84%D8%AC%D9%85%D9%8A%D9%84-%D9%84%D9%84%D9%87-%D8%AA%D8%B9%D8%A7%D9%84%D9%89
  • Imechapishwa: 12/04/2025