Swali: Makusudio yake ni kwamba anayekufa katika shirki ndogo anaingia chini ya utashi wa Allaah?

Jibu: Shirki ndogo inaingia chini ya shirki kubwa. Udhahiri wa dalili ni kwamba hasamehewi isipokuwa kwa kutubia au kwa mema yake kubwa na uzito zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24651/ما-حكم-من-مات-على-الشرك-الاصغر
  • Imechapishwa: 21/11/2024