Swali: Kipi kinachomlazimu mwenye kusema uwongo kwamba Allaah anajua kuwa nilikuwa sehemu fulani?
Jibu: Hakuna kinachomlazimu. Lakini Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) anajua. Lakini yeye ni mwongo. Anasema kuwa Allaah anajua kuwa alikuwa mahali fulani ilihali hakuwa mahali hapo. Ni mwongo. Lakini Allaah anajua kuwa ni mwongo. Hakuna chochote kinachomlazimu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 14/06/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket