Swali: Je, inajuzu kumkanushia kiwiliwili Allaah (´Azza wa Jall)?

Jibu: Kiwiliwili hakitakiwi kuthibitishwa wala kukanushwa. Kwa kuwa ni sifa ambayo haikuthibiti katika Qur-aan wala Sunnah.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17444
  • Imechapishwa: 29/11/2017