Swali: Watu wengi wanapoambiwa kuwa kuswali ndani ya msikiti wenye kaburi haisihi na inapaswa irudiwe wanatumia hoja ya msikiti wa Mtume?

Jibu: Msikiti wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kaburi lake si ndani ya msikiti. Kaburi lake lipo ndani ya nyumba ya ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa), siyo ndani ya msikiti. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alizikwa katika nyumba ya ´Aaishah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31117/حكم-الاحتجاج-لمساجد-القبور-بالمسجد-النبوي
  • Imechapishwa: 03/10/2025